F Picha: EWURA yazindua ripoti ya utendaji wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira 2017/18 | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha: EWURA yazindua ripoti ya utendaji wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira 2017/18


Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imezindua ripoti ya utendaji wa Mamlaka za Maji safi na Usafi wa Mazingira kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma,