Rais Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya wataalamu wa Tanzania na Morocco wanaoshughulikia ujenzi wa uwanja wa michezo katika Jiji la Dodoma.
Uwanja huo unaotarajiwa kujengwa kwa msaada wa Mfalme wa Morocco Mtukufu Mohammed VI. Ni Uwanja ambao utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 85,000 (normal capacity).