F Ratiba ya leo Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Ratiba ya leo Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL)


Ligi Kuu Tanzania Soka Tanzania Bara (TP) kuendelea leo Jumanne katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.

African Lyon baada ya kupoteza mchezo uliopita, leo watavaana na JKT Tanzania.

Hadi sasa African Lyon inashika mkia kwenye ligi hiyo yenye timu 20 ikiwa imejikusanyia Pointi 21, huku JKT Tanzania ikishika nafasi 9 ikiwa na alama 35 kibibindoni.