F Ujumbe wa Rais Magufuli katika siku ya Wanawake Duniani | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Ujumbe wa Rais Magufuli katika siku ya Wanawake Duniani


“Mungu awabariki sana akina mama, mnafanya kazi nzuri kwa ajili ya Taifa hili, endeleeni kuimarisha umoja wa watanzania wote." Ni sehemu ya ujumbe wa Rais Magufuli katika siku ya wanawake duniani ambayo inahadhimishwa leo.