Mchezaji wa klabu ya mpira ya Yanga, Abdallah Shaibu maarufu kama "Ninja" amefungiwa na Shirikisho la soka nchini TFF, kwa kosa la kitendo cha utovu wa nidhamu ambapo alimpiga kiwiko mchezaji wa timu pinzania wakati wa mchezo wao dhidi ya JKT Tanzania katika uwanja wa Mkwakwani. Kutokana na kosa hili mchezaji huyo amefungiwa kutocheza michezo mitatu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE