F VIWANJA VINAUZWA VIPO BAGAMOYO | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIWANJA VINAUZWA VIPO BAGAMOYO


 VWANJA  HIVYO VIPO UMBALI WA KILOMITA 3.5 KUTOKA BARABARA KUU YA MSATA-BAGAMOYO INAYOTUMIWA NA MAGARI YAENDAYO MIKOA YA KASKAZINI KUTOKA DAR ES SALAAM.



VIWANJA VIKO MITA 500 KUTOKA BARABARA YA KUELEKEA PANGANI NA TANGA INAYOENDELEA KUJENGWA  KWA KIWANGO CHA LAMI NA KUWEKEWA MIUNDOMBINU YA MAJI NA UMEME. 

VIWANJA VIPO MPAKANI  MWA ENEO LA RAZABA AMBALO SEHEMU YAKE INA SHAMBA LA MIWA LA  BAKHARESA NA KIWANDA CHA SUKARI KINAENDELEA KUJENGWA KM 7 KITOKA MAHALI VIWANJA VIPO.

EENEO LINALOPAKANA NA VIWANJA HIVI LIMEPIMWA NA VIWANJA VIMEUZWA VIMEISHA. HUDUMA ZOTE ZA JAMII ZIMETENGEWA MAENEO .

VIWANJA HIVI VINAUZWA KWA GHARAMA ZA MITA ZA MRABA YA SH. 3900 KWA VIWANJA VYA MAKAZI NA T.SHS 4500 KWA VIWANJA VYA BIASHARA  NA SHUGHULI ZINGINE ZA KIUCHUMI IKIJUMUISHA NA HOUSING ESTATES .

VIWANJA HIVI VINA UKUBWA WA KATI YA MITA ZA MRABA WA 450 HADI 11000.

BAADHI YA VIWANJA VINA HATI TAYARI NA VINGINE MNUNUZI ATATENGENEZEWA HATI NA HALMASHAURI KATIKA MKATABA  WA MANUMUZI UTAKAOFANYWA MBELE YA HALMASHAURI. 

MALIPO YA KIWANJA YANAWEZA KUFANYWA KWA AWAMU NDANI YA MIEZI SITA.

KWA MAHITAJI NA KUCHAGUA KIWANJA PIGA SIMU NAMBA 0765851517 AU 0653461126 AU FIKA OFISI YA AFISA ARDHI MTEULE BAGAMOYO