Mkutano wa 15 wa Bunge ulioanza April 02, 2019 Jijini Dodoma ambapo wastani wa maswali 515 ya kawaida yataulizwa na kujibiwa na serikali unaendelea kwa sasa. Aidha, wastani wa maswali 88 ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu yanatarajiwa kuulizwa kwa siku ya alhamisi. Fuatilia hapa live.