F Matukio katika Picha: Rais Magufuli alivyozindua majengo mapya ya Ikulu Chamwino Dodoma | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Matukio katika Picha: Rais Magufuli alivyozindua majengo mapya ya Ikulu Chamwino Dodoma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba kuashiria Ufunguzi rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.