F Picha: Mazoezi ya mwisho ya Simba SC kuelekea DR Congo | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha: Mazoezi ya mwisho ya Simba SC kuelekea DR Congo


Kikosi cha Simba SC kikifanya mazoezi ya mwisho kabla ya kesho kuondoka nchini kwenda Lubumbashi, DR Congo kwenye mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe utaochezwa Jumamosi.