F Ratiba ya leo Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Ratiba ya leo Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL)


Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) inatarajiwa kutimua vumbi tena leo ambapo Simba SC itavaana na JKT Tanzania. Chini ni ratiba ya michezo ya leo iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)