F VIDEO: Fatma Karume ''IS OUT'', Wakili Jebra Kambole afunguka | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Fatma Karume ''IS OUT'', Wakili Jebra Kambole afunguka


Rais msaafu wa Chama Cha wanasheria Tanganyika, Fatma karume amesema kuwa hana wasiwasi na mrithi wake na anajua chama amekiacha katika mikono salama huku akisema hana cha kuzungumza zaidi bali sasa anapumzika baada ya kukamilisha majukumu yake ya Urais.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE