Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga ameihoji Serikali kutokana na ongezeko la matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume ambapo ametaka kujua kama dawa hizo zimethibitishwa kiafya kupitia kwa mamlaka husika.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE