Halmashauri nyengine Nchini  zimeombwa kujifunza namna ujenzi wa mradi wa soko kuu la Njombe unavyojengwa ili kuendana na ujenzi wa majengo yenye viwango.

Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa Tamisemi mh.Joseph sinkanda kandege wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa soko kuu la Njombe Mjini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE