F BRIGHT ACADEMY OPEN SCHOOL INAATANATANGAZA NAFASI ZA MASOMO, MWANZA | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

BRIGHT ACADEMY OPEN SCHOOL INAATANATANGAZA NAFASI ZA MASOMO, MWANZA

Bright Academy open School iliyopo Mwanza ilemela inatangaza nafasi za masomo kwa kidato cha 5 katika Combination zifuatazo, CBA, CBN, CBG, PCB, PCM, PGM, EGM, ECA, HGL, HKL, HGE, HGK, KLF.

Tunafundisha michepuo ya Sayansi kwa vitendo, Sanaa (Arts) na Biashara (Business Studies Huduma za maktaba zinatolewa bure kwa wanafunzi wote. Pia Tuna mabweni kwaajili ya Wanafunzi.

piga simu kwa mawasiliano zaidi 0767 413 800 / 0762 494 206