F CCM wamlilia Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

CCM wamlilia Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi



Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetuma salamu za pole kufuatia kifo cha Waziri wa zamani Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi ambaye amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.