F Golikipa wa Simba SC, Manula kupewa Tsh. Milioni 10 na RC Makonda | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Golikipa wa Simba SC, Manula kupewa Tsh. Milioni 10 na RC Makonda


Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam, Paul Makonda ameahidi kutoa zawadi ya Tsh. milioni 10 kwa Golipika wa Simba SC, Aishi Manula na Tsh. Milioni 1 kwa wachezaji wengine ambao hapo jana walishinda kwenye MO Simba Awards 2019.