F Picha: China yazindua treni za mwendo wa kasi wa kilomita 600 kwa saa | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha: China yazindua treni za mwendo wa kasi wa kilomita 600 kwa saa


Inchi ya China imezindua treni za mwendo wa kasi wa kilomita 600 kwa saa, mjini Qingdao. Treni hizo zimewekwa mfumo ulioimarishwa ambao utapunguza kasi ya treni hizo na kuzisimamisha iwapo kutakuwa na dharura .