F Picha: Hali ilivyo mvua Dar es Salaam | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha: Hali ilivyo mvua Dar es Salaam

 
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimendelea kuleta athari katika maeneo mbalimbali ikiwemo eneo la Jangwani ambapo mawasiliano yamekatika katika daraja la Jangwani linalounganisha Magomeni na Kariakoo.