F Picha: Mrisho Mpoto akubali kuvaa viatu Kagera | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha: Mrisho Mpoto akubali kuvaa viatu Kagera


Muimbaji wa Nyimbo za Asili, Mrisho Mpoto amekubali kuvaa viatu mbele ya waandishi Wa habari Mkoani Kagera ili kufanikisha kampeni ya kitaifa ya usafi wa mazingira ya usichukulie poa nyumba ni choo.