F Picha: Muonekano wa nyumba ya Dkt. Mengi iliyopo Machame | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha: Muonekano wa nyumba ya Dkt. Mengi iliyopo Machame


Muonekano wa makazi ya Dkt. Reginald A. Mengi katika Kijiji cha Nkweseko, Machame mkoani Kilimanjaro. Mwili wa Dk Mengi utalala hapa leo, na kesho ibada ya mazishi itafanyika Usharika wa KKKT, Moshi Mjini, na kisha utazikwa kwenye makaburi ya familia Kisereni, Machame.