F RCO wa Ilala afariki kwa ajali ya gari | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

RCO wa Ilala afariki kwa ajali ya gari


RCO wa Ilala Jijini Dar SSP Mbise taarifa zinasema kuwa amefariki dunia muda huu wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro kwa ajali ya Gari akiwa safarini. Taarifa zinasema kuwa RCO Mbise alikuwa anaelekea nyumbani kwao kwa mapumziko ya kikazi.