Serikali ya Sweden imeingia makubaliano na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad ambapo miradi yote ambayo Sweden na Tanzania zinashirikiana itakaguliwa na Prof. Assad kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2019 hadi mwaka 2022.