F VIDEO: Mke wa Mengi na watoto wake waangua kilio mbele ya jeneza la baba yao | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Mke wa Mengi na watoto wake waangua kilio mbele ya jeneza la baba yao


Mke wa marehemu Dkt. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi na watoto wake wameonekana kuangua vilio mbele ya jeneza la baba yao wakati wa ibada ya kumuaga ambayo imefanyika katika kanisa la KKKT mjini Moshi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE