Viwanja vinafikika vizuri kwa barabara pia kuna huduma za Maji na Umeme.
Unaweza kufika eneo la viwanja
kupitia njia ya shule ya msingi goba iliyopo mkabala na Goba mnadani eneo ilipo supermarket na Kitua ncha Mafuta.
Bei ya viwanja ni Shilingi Elfu Thelathini (30,000) kwa mita ya Mraba na viwanja vina ukubwa wa kuanzia mita za mraba 450-500.
Wateja hupelekwa site kila siku kuviona.
Kwa mawasiliano Piga simu namba; 0655 00 55 47 au 0682 76 95 20