F Wanachama wapya ya CCM wala kiapo cha uaminifu | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Wanachama wapya ya CCM wala kiapo cha uaminifu


Na Ferdinand Shayo

Wanachama wapya ya CCM wilaya ya Karatu wakiwemo Madiwani na Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji wakila kiapo cha uanachama mbele ya Mwenyekiti wa CCM mkoa Loata Sanare.