F Aika wa Navy Kenzo apata mtoto wa pili | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Aika wa Navy Kenzo apata mtoto wa pili


Wasanii wa muziki nchini, Nahreel na Aika wanaounda kundi la Navy Kenzo ambao pia ni wapenzi wamejaliwa kupata mtoto wao wapili, aitwae Jamaika.

Kupitia kurasa zao za mtandao wa Instagram, wameeleza furaha yao mara baada ya kupata mtoto huyu. Aika ameandika, "Jamaika is here God is good, nashukuru kwa maombi yenu".

Utakumbuka kuwa mtoto wao wa kwanza ambaye ni wa kiume walimpata December 2017 na kumpa jina la Gold.