Balozi wa Tanzania-China Mbelwa Kairuki amekutana na Makamu wa Rais wa kampuni ya LuckIn Coffee ya China Bi.Tina Liu.Kampuni hiyo yenye mtandao wa migahawa 2370 ya kahawa katika miji 28 nchini China imeelezea nia ya kununua kahawa kutoka Tanzania na korosho (snacks).