F Picha: Mazoezi ya Taifa Stars nchini Misri usipime | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha: Mazoezi ya Taifa Stars nchini Misri usipime


Kikosi cha Taifa Stars jana jioni kimefanya mazoezi yake ya kwanza kikiwa nchini Misri kwenye Uwanja wa Movenpick kujiandaa na fainali za AFCON 2019 zitakazoanza Juni 21, 2019 nchini humo.