Picha: Wajumbe Kamati Tendaji Mabunge Jumuiya ya Madola tawi la Tanzania wapatiwa Semina

Mjumbe wa kamati tendaji ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika tawi la Tanzania, Mhe. Dkt. Sware Semesi (kulia) akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo (hawapo kwenye picha) wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa kamati tendaji ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika tawi la Tanzania iliyofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mussa Azzan Zungu