F TANZIA: Mchezaji wa zamani wa Simba SC afariki Dunia | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

TANZIA: Mchezaji wa zamani wa Simba SC afariki Dunia

Mchezaji wa zamani wa Simba SC Sekelo Barnabas, amefariki dunia kwa ajali ya pikipiki iliyotokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya Tazara, Dar es Salaam na msiba uko Tandale.

Kabla ya kuingia Simba, Sekelo alizichezea Yanga Kids, Pallsons na AFC.