![]() |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amepokea Treni ya mizigo na kuzindua safari za Treni za mizigo katika reli ya Kaskazini.
|
![]() |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea treni ya mizigo, iliyowasili tokea Tanga, kwenye uzinduzi wa treni hiyo katika reli ya Kaskazini Julai 20.2019 |