Halmashauri ya Jiji la Arusha Inatarajia kujenga stendi kubwa ya Mabasi ya kisasa ambayo itakuwa ni tofauti Na Stendi nyingine Tanzania kutokana na eneo hilo kuwa nje ya Mji.
Akizungumza Dc wa Arusha Fabian Daqaro na Mkurugenzi Selemani Madeni amesema kuwa stendi hiyo inajengwa kwa mkono wa sh Bilioni kumi
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI USIKOSE KU-SUBSCRIBE