F BREAKING: Rais Magufuli afanya uteuzi huu | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

BREAKING: Rais Magufuli afanya uteuzi huu


Rais John Magufuli amemteua Jaji mstaafu Ibrahim Mipawa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.

Jaji Mipawa anachukua nafasi Jaji mstaafu Januari Msofe ambaye ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania. Uteuzi wa Jaji Mipawa umeanza Agosti,7 mwaka 2019.