F Gavana wa BoT akutana na Mkurugenzi Benki ya Dunia kanda ya Afrika | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Gavana wa BoT akutana na Mkurugenzi Benki ya Dunia kanda ya Afrika


Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT, Prof. Florens Luoga amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia kanda ya Afrika Bi. Anne Kabagambe ofisini kwake jijini Dar es Salaam.