F Uongozi Yanga SC wateua wajumbe 9 | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Uongozi Yanga SC wateua wajumbe 9


Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Dk. Mshindo Msolla akishirikiana na Kamati ya Utendaji wameteua wajumbe takribani 9 wanaounda kamati ya sheria na nidhamu.