Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema idadi ya vifo vya watu walioungua moto kwenye ajali ya lori la mafuta lililolipuka jana mpaka sasa imefikia 71 baada ya majeruhi wengine wawili kufariki dunia.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE