Majeruhi mwingine mmoja wa ajali ya moto wa lori la mafuta iliyotokea mkoani Morogoro amefariki dunia usiku katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo mpaka sasa idadi ya vifo imezidi kuongezeka huku wakibaki 14 kati ya 47 ambao walipokelewa hospitalini hapo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE