F VIDEO: A-Z Mazoezi ya Simba wakijiandaa kuwavaa Azam ni balaa/ Wapiga pasi kama Barcelona | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: A-Z Mazoezi ya Simba wakijiandaa kuwavaa Azam ni balaa/ Wapiga pasi kama Barcelona


Klabu ya soka ya Simba SC imefanya mazoezi yake kwa mara ya leo Jumanne jioni katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam kwa mara ya kwanza tangu walipowasili kutoka nchini Msumbiji kucheza na UD Songo kwenye mchezo wa klabu bingwa Afrika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE