Vyuo vikuu vitano kutoka Tanzania vimeingia katika orodha ya vyuo vikuu bora 200 Afrika, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na uniRank.
44: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
81: Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA).
102: Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
136: Chuo Kikuu Mzumbe.
171: Chuo Kikuu Muhimbili.