F LAKE TANGANYIKA HIGH SCHOOL INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

LAKE TANGANYIKA HIGH SCHOOL INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO

LAKE TANGANYIKA SECONDARY SCHOOL  BWENI  INAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2019-2020 MASOMO YA PRE-

Uongozi mpya na usimazizi mpya wa shule ya lake Tanganyika iliyopo kijiji cha mkigo wilaya ya kikoma vijijini unapenda kuwa tangazia nafasi za masomo kwa mwaka  2019 na 2020 kwa  wanafunzi  wa  pre-form.

MASOMO YA PRE-FORM ONE 2019 
Masomo ya pre-form one yataanza tarehe 1/10/2019 hadi tarehe 20/12/2019. Masomo yatakayo fundishwa ni: Engilish, Mathematics, Physics, Kiswahili, Biology, chemistry, History, Civics na Computer . ghalama ya shilingi ( 100,000) laki moja  na nikwabweni tu.                 

NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA  2020 
Nafasi za masomo  kwa  kidato cha  I, ii, iii,  iv, v na vi kwa mwaka wa masomo 2020 zinapatikana . wahi sasa nafasi ni chache.

Shule ni ya bweni kwa  wavulana na wasichana na  inachukua wanafunzi wa imani zote .pia kunanafasi za kuhamia kwa kidato cha (1) kwanza (iii) tatu (iv) tano na (vi) sita pia nafasi za QT PC zinapatikana shuleni kwetu ada zetu kwa mwaka kwa wanafunzi wa kidato cha (i-iv)kwana hadi cha nne nishilingi  700,000  kwa wanafunzi wa kidato cha (v-vi) tano na cha sita ni shilingi 750,000ni nafuu mno  zinalipwa kwa awamu nne.

kwa mawasiliano zaidi fika shuleni au piga simu: 0769697667 / 0716093887 / 0620809807 / 075641720