Semina ya siku mbili kwa Waandishi wa Habari za Michezo Wanawake imeanza leo kwenye Hoteli ya Serene,Mbezi Beach ikihudhuriwa na Washiriki thelathini kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari Tanzania, kikiwemo chombo cha Muungwana Blog kikiwakilishwa na Salma Seif.