Washiriki wa Semina ya siku mbili kwa Waandishi wa Habari za Michezo Wanawake wakifuatilia maelezo ya mwalimu, semina inafanyika kwenye Hoteli ya Serene, Mbezi Beach ikihudhuriwa na Washiriki 30 kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari Tanzania, kikiwemo chombo cha Muungwana Blog kikiwakilishwa na Salma Seif.