Ibun Rushdy Sec School ni shule inayopatikana jijini Dar-es-salaam wilaya ya kigamboni kata ya somangira geza ulole.
Tunatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2020 nafasi za kuhamia kwa kidato cha pili na cha tatu zinapatikana pia.
Ni shule iliyo chini ya taasisis ya kuhifadhisha Quran tukufu Tanzania The holy Quran memorization charitable trust.
Shule inapakana na Bahari ya hindi mazingira ni tulivu na salama mlete mwanao atapata elimu bora chini ya walimu wenye uzoefu.
Lugha zinazotumika kufundishia ni kiingereza na kiarabu.
Fomu zinapatikana shule shuleni kwa maelezo zaidi wasiliana kwa simu number
0716567471, 0718276655 na 0714224800
Ibun Rushdy Sec School elimu bora malezi bora