F Simba yainyoosha Bandari FC | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Simba yainyoosha Bandari FC

Klabu ya Simba imeweza kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bandari FC katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Goli la Simba lilifungwa na Ibrahim Ajibu dakika ya 78.