F Taarifa muhimu kutoka Bungeni | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Taarifa muhimu kutoka Bungeni


Bunge la Tanzania limesema sheria 4 zilizopitishwa katika mkutano wa 16 wa Bunge zimesainiwa na Rais John Magufuli na kutangazwa katika Gazeti la Serikali.