Klabu ya soka ya Yanga imetoka sare ya kufungana magoli 3-3 na Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Katika mchezo huo David Molinga amefunga magoli mawili kwa Yanga huku Ditram Nchimbi akifunga Hatrick kwa upande wa Polisi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE