F Rais Magufuli apendekeza Soko Kuu la Dodoma kuitwa soko la Ndugai | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Rais Magufuli apendekeza Soko Kuu la Dodoma kuitwa soko la Ndugai


Rais John Magufuli ameweke jiwe la msingi la ujenzi wa Soko Kuu la Dodoma na kupendekeza  soko hilo liitwe Soko Kuu la Ndugai.

Ujenzi wa soko hilo la kimataifa utakamilika Februari 2020 kwa gharama ya shilingi Bilioni 14.4.