F TUNAUZA MBWA NA KUTOA USHAURI JUU YA MBWA | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

TUNAUZA MBWA NA KUTOA USHAURI JUU YA MBWA

Je, unahitaji mbwa wa kisasa, wenye afya, wakubwa na pia wenye mafunzo na ubora wa kimataifa??

 Je, unahitaji ushauri wa kitaalamu na madokezo juu ya ufugaji bora wa mbwa na mafunzo??

 Je, unahitaji kufahamu hatua mbali mbali za kuchukua ili mbwa wako wawe imara zaidi kwenye suala zima la ulinzi??

 Je, unahitaji msaada wa jinsi ya kupata au kuandaa vifaa mbali mbali, suppliments na vyakula bora vya mbwa?? Kama majibu yako ni ndio, basi hujachelewa.

King Dawgz ni wataalamu wa uzalishaji, ufundishaji na uuzaji wa mbwa bora wa kisasa Tanzania na East Africa kwa ujumla.

Pia wanatoa bure msaada wa kiushauri na mafunzo juu ya ufugaji bora wa mbwa aina zote.

Mawasiliano: Instagram. King_Dawgz
Piga simi +255745791975
 Barua pepe. kingsdawgz@gmail.com Facebook. King dawgz


Epuka matapeli, madalali wa mbwa mtandaoni na wababaishaji wafuatilie King_Dawgz kwa uhakika.