Meya wa jiji la Dar es salaam Isaya Mwita amesema ujenzi wa Standi mpya ya kisasa ya Mabasi ya mikoani na nchi za jirani sasa umefikia asilimia 50 ambapo mpaka kufikia Mei mwakani unatajia kufikia asilimia 100.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE