F Picha: Adhari za mvua Dar es Salaam | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha: Adhari za mvua Dar es Salaam


Picha kutokea angani kuonyesha jinsi eneo la Jangwani lilivyoathirika kwa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha kuanzia Jumanne alfajiri.

Hapa ni karakana ya mabasi ya huduma haraka DART. Huduma za mabasi ya haraka zimesitishwa kwa mpaka hali itakaporejea kuwa shwari.

Maji yafurika Tazara barabara ya chni kutoka Airport kwenda Temeke na Buguruni haipitiki kwa sasa na magari yanayijaribu kufanya hivyo yanazima bila kujali ukubwa wake hivyo watumiaji wote wa barabara wanashauriwa kupita juu.